Goddestination

Quraish

Quraish

Makureshi

4 ayaMakkaKiswahili

Inacheza sasa Tazama kwenye YouTube

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَـٰنِ ٱلرَّحِیمِ

Bismi Allah Ar-Rahman Ar-Rahim

  1. 1 لِإِیلَـٰفِ قُرَیۡشٍ

    Leilaf Quraish

    Kwa walivyo zoea Maqureshi,

  2. 2 إِۦلَـٰفِهِمۡ رِحۡلَةَ ٱلشِّتَاۤءِ وَٱلصَّیۡفِ

    ilafihim Rihla Ash-shita wal-saif

    Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto.

  3. 3 فَلۡیَعۡبُدُوا۟ رَبَّ هَـٰذَا ٱلۡبَیۡتِ

    Falyabudu Rabb haza Al baiti

    Na waabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii.

  4. 4 ٱلَّذِیۤ أَطۡعَمَهُم مِّن جُوعࣲ وَءَامَنَهُم مِّنۡ خَوۡفِۭ

    at'amahum min ju waamanahum khaufi

    Aliyewalisha chakula ili awaokoe na njaa, na aliwaweka salama ili awaokoe na khofu.

Sura hii katika lugha nyingine